Karibu Agiza Chakula. Kwa kutumia huduma zetu, unakubali masharti yafuatayo. Tafadhali yasoma kwa makini.

1. Kukubali Masharti

Kwa kujisajili au kutumia huduma zetu, unakubali kufuata masharti haya yote. Kama hukubali, tafadhali usitumie huduma zetu.

2. Akaunti Yako

Unawajibika kulinda taarifa za akaunti yako. Unapaswa kuwa na umri wa miaka 18 au zaidi ili kujisajili. Taarifa zote unazotoa lazima ziwe za kweli.

3. Kuagiza na Malipo

Agiza Chakula ni mfumo unaounganisha wateja, watoa huduma na migahawa. Mteja analipa chakula kwa simu kupitia Agiza Chakula au cash kwa mtoa huduma.

4. Ada ya Watoa Huduma

Watoa huduma wapya wanapata oda 5 za kwanza bure. Baada ya hapo, wanatakiwa kulipa ada ya mwezi ili kuendelea kupokea oda. Ada inaweza kubadilishwa na admin.

5. Tabia Zinazokatazwa

Hairuhusiwi kutoa taarifa za uongo, kutumia mfumo kwa njia isiyofaa, au kuharibu huduma zetu kwa njia yoyote.

6. Mawasiliano

Kama una maswali kuhusu masharti haya, wasiliana nasi kupitia email: legal@agizachakula.com