Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Tafuta majibu ya haraka kuhusu jinsi Agiza Chakula inavyofanya kazi.

Maswali ya Jumla

Agiza Chakula ni mfumo unaokuunganisha na migahawa midogo na watoa huduma wa karibu nawe. Unaagiza chakula na mtoa huduma wa karibu anakuletea.

Ndiyo, ni bure kabisa kwa wateja! Watoa huduma wanalipa ada ndogo ya mwezi baada ya oda zao 5 za kwanza za bure.
Kwa Wateja

Unaweza kulipa kwa simu (M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, Halotel) unapoweka oda, au kumlipa mtoa huduma cash chakula kikifika.

Ndiyo! Unaweza kuagiza moja kwa moja kutoka mgahawa na kuchukua mwenyewe (pickup) au kukubaliana nao jinsi ya kufikisha.

Utapokea taarifa kila mtoa huduma anapokubali oda yako, anapochukua chakula, na anapokuwa njiani kuja kwako.
Kwa Watoa Huduma

Malipo hufanyika moja kwa moja kupitia API yetu ya malipo ya simu (M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, Halotel). Utapokea taarifa ya malipo kwenye dashibodi yako.

Ndiyo! Unaweza kuongeza vyakula vyako mwenyewe kwenye menyu na kuuza, au kuchukua kutoka mgahawa na kufikisha kwa mteja.
Malipo & Ada ya Mwezi

Ada ya kawaida ni TZS 2,500 kwa mwezi, lakini inaweza kubadilishwa na admin. Oda 100 za kwanza ni bure.

Hutaweza kupokea oda mpya mpaka ulipe ada ya mwezi. Unaweza kulipa kwenye dashibodi yako.

Hukupata jibu unalotafuta?

Timu yetu ya msaada iko tayari kukusaidia.

Wasiliana na Msaada